Monday, 14 December 2015

Entertainment Ni headlines za Mafikizolo na Diamond Platnumz Afrika Kusini….

Najua watu wengi walikuwa na hamu ya kufahamu headlines za kundi la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini na Diamond Platnumz juu ya collabo yao waliyoifanya tangu 2014 lakini mpaka sasa haijatoka.
Kama ulikuwa umeshakata tamaa kuhusiana na collabo hiyo ya muda mrefu bila kusikika, basi stori ninayotaka kushea na wewe ni kwamba leo ndio wanafanya rasmi video ya wimbo huo mpya huko Afrika Kusini.
Msanii Theo ambaye ni mmoja wa memba wa kundi hilo aliwataarifu mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema leo ndio siku ambayo watashoot video ya collabo yao waliyoifanya na Diamond Platnumz.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana naMillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> I

No comments:

Post a Comment

Slider Speed

Disqus Shortname

Column1 Posts No.

Column2 Posts No.

List Posts No.

Gallery Posts No.

Videos Posts No.

Carousel Posts No.

Ad Inside Post

Slider Posts No.

Comments system

Related Posts No.

Fbig2 Posts No.

Recent Posts No.

Fbig1 Posts No.

Boxed Style

Scroll Animation

PageNav Posts Number

Home PageNav

Purchasing Code

Home Recent Posts

Recent Comments No.

Random Posts No.

Ticker Posts No.

Sticky Header

Author box

Contact us

Name

Email *

Message *

No Image URL

Months Format Text